Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Mchawi wa CHADEMA huyu hapa

Nzilo

Senior Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
180
Reaction score
58
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA

Methali ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....

sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)

Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21 Irrefutable laws of Leadership" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
 
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...
 
Hayo ni maneno tu.... hata kwenye kanga yapo.... ukweli utabaki kuwa ukweli na Zitto kashinda kesi....!!!!
 
Screen-Shot-2014-01-07-at-5.40.34-PM.png
 
Hayo ni maneno tu.... hata kwenye kanga yapo.... ukweli utabaki kuwa ukweli na Zitto kashinda kesi....!!!!
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...
 
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...

Ni mawazo yako... unao uhuru wa kufanya hivyo na ndivyo ulivyofundishwa kama matusi kwako ni mtaji peleka soko la kaliakoo..... !!!
 
Ungejisikiaje kama Tundu Lissu angelishinda kesi.... bila shaka ungeshangilia sana au siyo.... kama angelikuwa mwanasheria makini angeliushauri uongozi kusikiliza refaa ya Zitto kwanza baadala yake aliona kesi itakuwa rahisi kwake....
 
Then what? atafanyakazi na katibu yupi? M/Kiti yupi?...wajumbe wepi? kwanini msiwe wakweli wa nafsi zenu kuwa amefanikiwa kutetea posho zake za ubunge na uenyekiti wa PAC? Mlarushwa mkubwa kama Zitto kuwa M/Kiti wa kamati ya Bunge i.e watch dog committee inayochunguza mashirika ya umma huoni kuwa kuna walakini?...kweli wajinga ndio waliwao...Mahakama ilikuwa haina namna zaidi ya kuitikia wito wa Rais na Mwenyekiti wa CCM... Ukweli huu utasimama mpaka siku ya mwisho wa dunia kuwa Zitto si Msafi na CCM wako nyuma yake kujaribu kudhoofisha upinzani... After all in saltation Zitto atasubutu kumwangalia Mbowe na Viongozi wake kweli...Kijana aliechukuliwa kibohehe secondary alikokuwa anashindwa hata kwenda likizo kwa kukosa nauli leo anauwezo wa kuingia kwenye propaganda chafu ya kumchafua master wake ? Anazuia harakati za kuokoa Tembo, Madini na Gesi mali halali ya Watanzania? ama kweli kizazi cha nyoka itaendelea kuwa kizazi cha nyoka hadi mwisho wa dunia...

Nahisi kama ndo unaamka vile...... kapige mshwaki kwanza....
 
Usilazimishe kuogelea kwenye bahari wewe.... utazama!!!!!! Jenga hoja....
 
Mchawi wa CHADEMA ni UOngozi wa CHADEMA
Metahli ya "mfa maji haachi kutapa" ndo yanatimia.....
sasa mara CCM mara CUF hivi hata kwa akili ya kawaida hatuwezi kuyaona haya matatizo yaliyopo kwenye uongozi wa juu au tunafumba macho na kushabikia ujinga.....
hakuna mchawi nje ya CHADEMA, mchawi yumo ndani ya kamati kuu na baraza la ushauri wa CHADEMA... mi nashauri wakae chini na kujitathimini ndani ya chama na ikiwezekana matatizo yao wayamalize kwa kushirikisha watu wenye busara nje na ndani ya chama na wenye uwezo wakuona mbali na ikiwezekana Viongozi wapate msasa wa elimu ya Sayansi ya siasa (Political Science.....)
Ninachokiona ndani ya CHADEMA ni Poor management of the Organization... Mtaalamu mmoja wa mambo ya Utawala Maxwell katika kitabu chake cha "The 21indispensable laws of a Leader" anashauri kuwa kama Kiongozi (Leader) unatakiwa kujifunza namna ya kuongoza kupitia migongo wa watu wenye ushawishi katika Taasisi yeyote suala hili kwa CHADEMA naona kama halipo....
mara mnakuja kama watoa ushauri kumbe hamna lolote miccm tu kwenda kulee
 
ZITTO, TISS,CCM na CUF lakini hawawezi kushinda kimbunga chake watakiona wananchi wameshawajua ndio maana unashangaa stamico inachomwa mot ,mahakama kwisha wale wote wanaodumaza demokrasia ya wananchi kwa kutumia mamluki na wazandiki wanatumbukiza nchi kwenye lindi la damu hakuna atakaye kubali CCM iendelee na ghiriba za kusambaratisha vyama
 
kukalili siyo kujifunza.....!!! Kujifunza ni kuelewa.... rudi darasani!!! Au soma vizuri katiba ya Nchi na ya CDM utapata ukweli... Acha kukalili.
 
Kufukuzana uanachama ni tatizo, kama dunia ingeendeshwa hivyo ni kosa. Lkn uongozi Zito siyo, hafai hata ukatibu kata. Mpeni wenyewe kigoma vijijini, ndy tabia yenu. Walid yaleyale Kafulila hayohayo, zzk mr mabomu yasiyo ripuka ufisadi ufisadi kumbe kigoma type. Mchukueni wenyewe siyo mwajibikaji fb na jf kila siku kujieleza. Vijana wakibongo ndivyo mlivyo siasa za uongo wa kutafuta sifa tigiteni huko.kwenu kgm. Kashinda sawa kabisa sivema kukosa unatolewa uanachama lkn ni mnafiki, siyo mwajibikaji anatafuta kusifiwa pekee yake ajiondoe cdm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom