Mchawi mwite mchawi, kumwita mtukufu ni dhambi

Feb 7, 2015
85
95
Hatunywi sumu, hatujinyongi.........ccm mbele kwa mbele.

Walimu wa masomo ya sanaa wajiajili, wao sio kipaumbele, sasa kipaumbele ni kuweka bajeti ya kusaka alipo faru.......ukihoji maruhani wanakusandarusi unasahaulika.

Kila anayepata ajira kwa jitihada binafsi lazima akatwe 15% ya mkopo wa elimu elimu ya juu, 30% kodi ya mapato, 10% NSSF, CWT n.k....ukienda ATM unakatwa kodi, ukituma m-pesa unakatwa kodi, ukiweka vocha unalipa kodi, ukinunua sukari, ukipanda daladala nk unakutana na kodi.

Ukitaka kuomba mkopo wa kujenga unaambiwa hupewi mkopo hadi umalize mkopo wa elimu ya juu kwanza ndio utoke katika nyumba za kupanga........huku ukijua ulisaliti mabadiliko ya CHADEMA iliyokuwa imejipanga kutoa elimu bure hadi chuo kikuu.....na wadaiwa kufutiwa deni.

Mwanao anarudi kijijini kwa kukosa mkopo wa elimu ya juu akilia na kuweka msiba kwako anakuwa mzigo, majonzi ukijuwa ulikuwa unarukaruka na ule wimbo wa ccm mbele kwa mbele......tupeipenda wenyewe.....sasa unatumbuliwa kiaina mpaka akili ikukae sawa.

50 Milioni kwa kila kijiji sio kipaumbele, wananchi wasubili labda muujiza wa maono ya Lema yatakapotimirika.....mnaisoma namba na kuendelea kutegemea kumchinja konokono 1 upate kilo 10 kushibisha na kufurahisha wageni wako.

Anasema katiba ya wananchi sio kipaumbele....hakuwahi kuahidi popote.......na yeye haoni umuhimu wake.....maoni ya Wananchi na mchakato wa Katiba Mpya sio issue kwake.....yeye ni katiba na mtukufu.

Kwa muda kipindi cha mwaka mmoja wa hii serikali imefanikisha kuanzisha na kujenga viwanda 3800......kwahiyo janga la ajira Tz hakuna linasikilizwa radio kuwa lipo Kenya, Uganga n.k

Bombadier zitanunuliwa hadi 6 ila huduma ya maji hayapewi fedha sitahili maana sasa sio kipaumbele........hivyo upatikanaji wa maji yanaendelea kuwa janga.....watanzania waendelee kusubili.

Bombadier zinanunuliwa kwa kipaumbele ila Hospitali ya Taifa MoI haina kipimo cha CT scan na katika vituo vya afya na hospitali za umma dawa na mitambo ya kupima magonjwa hakuna inavyostahili.......Watz wasubili tu.

Mishahala ya Walimu, madaktari nk haipandishwi iendelee kusubili.......uteuzi na kugawana vyeo unaendelea na kukamirisha manunuzi ya madege ya bombadier bado hakujakamirika.

Mashangingi yanayonunuliwa kwa bei ya tumbua pesa yanaendelea kununuliwa sawa na enzi za Kikwete, mikataba yote bado ni siri, mshahara wake ni siri, mafisadi wanapewa vyeo, mtu anafisadi hapa anahamishiwa pale kesho, watu wanatoweka hawajulikani walipo,.... ...kisha mnaendelea kuchezeshwa ngoma ya hapa kazi tu na kuwa jamaa ni mtukufu.......acheni kumnajisi Mungu kwa kutaka maombi yake.........mnatuongezea laana.

[HASHTAG]#TunamtakaBenSaananeAkiwaHai[/HASHTAG].
#FreeLema_Justice4Lema

Solomon KAMBARANGWE

21/12/2016
 
shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
7,896
2,000

Mkuu umetoa hoja safi japokuwa kuna CHUMVI kidogo kama vile mambo ya MIKOPO ya wanafunzi. Nakumbuka Serikali hii ILIKANUSHA kuhusu hilo.

Mahali nitakuunga mkono ni juu ya VIPAU MBELE. Ni muhimu serikali ya Magufuli IWE na MAONO katika kuinua maisha ya watu VIJIJINI zaidi ya maendeleo ya MAVITU!

As much as tunataka kuwa kama DUBAI, ni lazima tujiulize Je MAISHA ya wananchi wa Dubai yako kiwango cha KATI ama cha CHINI?

Kama ni cha KATI basi TUJIREKEBISHE na kufanya FIRST things FIRST/Mambo ya MUHIMU kwanza. Bila hilo Tanzania TUTAKUWA na MADENI ambayo ni makubwa yasio na TIJA kwa mstakabari taifa letu.

Umezungumzia kuhusu USIRI wa makubaliano ama mikataba. Kusema UKWELI ni kuwa mikataba ya KIUSALAMA peke yake ndiyo ambayo yaweza kuwekwa katika USIRI kwa sababu zilizo wazi. Lakini mikataba YEYOTE ile ni LAZIMA taifa LIJUE maana nchi ni ya WANANCHI na wala si mtu mmoja!!!!!!"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom