Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,645
Kama hili jambo lingekuwa ni la siasa ningeliweka kwenye Jukwaa la siasa. wewe kakwambia nani nazungumzia watawala?Dogo acha dhihaka kwa watawala.
Kumbuka Mungu ameweka mamlaka za kidunia ili zitawale mienendo yetu na kustawisha ustaarabu katika jamii.
Tutafute namna nzuri ya kukosoa sio kihivi.
Silipendi hilo neno.Dogo acha dhihaka kwa watawala.
Kumbuka Mungu ameweka mamlaka za kidunia ili zitawale mienendo yetu na kustawisha ustaarabu katika jamii.
Tutafute namna nzuri ya kukosoa sio kihivi.
Kuna mahali nilitakiwa kuweka tangazo langu hili ambapo nitapata wachawi kirahisi?Utakuwa umechanganya mafaili.
Ametajwa mtawala gani hapo? Mbona mnajishtukia hivi kinomanoma!!!Dogo acha dhihaka kwa watawala.
Kumbuka Mungu ameweka mamlaka za kidunia ili zitawale mienendo yetu na kustawisha ustaarabu katika jamii.
Tutafute namna nzuri ya kukosoa sio kihivi.
Kama hili jambo lingekuwa ni la siasa ningeliweka kwenye Jukwaa la siasa. wewe kakwambia nani nazungumzia watawala?
Sijawahi kukuona kwenye hizi maneno za kina Mshana, Mzizi mkavu na Jichawi lkn baada ya kutafakari naona mmmmh hujakosea njia iko maneno hapo ngoja nisome tena.Kuna mahali nilitakiwa kuweka tangazo langu hili ambapo nitapata wachawi kirahisi?
We mbulumundu sitaki lwenya. Tangu lini id yangu ikashabihiana na lumumba?!Ametajwa mtawala gani hapo? Mbona mnajishtukia hivi kinomanoma!!!