Mchawi akwama hapa Ilula Iringa

Hahaaaaaaaaa tungekuwa ulaya tunaenda asubuhi na kurudi jioni
 
Watafute wachawi wakufundishe ila ukipita kwangu lazima unase
Mi siamini bhana, na kama nikimfahamu huyo mchawi anayeweza kufanya hayo, wallah nitamwambia anipe lift siku moja nikiwa najitambua ili nithibitishe!
 
Nipo hapa kukuonyesha wachawi,pamoja na misukule.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi wachawi wanashindwa nini kuingia benki usiku na kuiba mpunga?
 
c wanasema sharti uwe uchi ndo upae... mbona kajigagula hyo maza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…