Mchango wa Mch. Msigwa Bungeni Mei 29 2015 ulivyotikisa

Mchango wa Mch. Msigwa Bungeni Mei 29 2015 ulivyotikisa

LB 7 hawatii timu hapa kuthamini michango ya wawakilishi wa wananchi
 
Jamaa huwa akigyatuka, unamkubali. Jamaa ni JEMBE.

I wish angelikuwa ni Waziri Mkuu.....
 
Kuna kitu kimoja amekitaja "balozi zinanuka, ukiingia huoni mahali pa kufanyia hata mazungumzo"
Naomba mwenye wazo tofauti humu jukawaani ajitokeze.
 
Maccm yalivyochoka mnasubiri wawajibu hahaaa
 
Huyo ni mmoja kati ya hazina kubwa tulizonazo chademaa
 
Msigwa yupo juu sana. Si mara kadhaa ya Slaa. Slaa huongeleaga watu badala ya wayforward. Slaa hatoagi soln zaid ya kiongelea tuhuma. Ukawa kura yangu nitatoa mkiniletea mtu kama Msigwa, Mbatia hata Mbowe. Ila sio slaaa
 
Wale wa mama wanao jipitisha jimboni wanakubalika? Mwingine anajiita jina la kifaa cha kuhifadhia pamba Nyepesi
 
Back
Top Bottom