Mchango wa mawazo tafadhali...


Kijana madhara ya hiyo kitu ni ndogo sana na hata hii ya kujifungua kwa complications ipo kwa cases ndogo . Mimi natokea kwenye jamii ambayo tumechanganyikana sana na wakurya , wale wamama wa zamani wa kikurya wamekeketwa kwa asilimia kubwa lakini wanazaa hadi watoto kumi tena majumbani. Wanawake wanaozaa kwa complications siyo tu waliokeketwa bali hata mjini huku ambako hayo mambo hayapo wanakufa. Kukeketa wanawake si issue ya kiafrika tu na kote huko wanajifungua. Kukeketwa kunapingwa hasa kwasababu inawanyima wanawake haki yao ya kufurahia tendo la ndoa.
Lakini jambo la pili ni kuwa KUKOSA HISIA SI ISSUE YA KUKEKETWA TU hata wanaume wengi wanakosa hisia , inaweza kuwa issue ya kimaumbili, hormones au kisaikolojia. Usimuache huyo binti kwasababu hizo kaka.
 
Mkuu inaonekana alipata ajali wakat anatolewa bk yake jamaa akatoa hadi iyo kitu
 
Hayo ni maumbile yake tu.

Na mfano kama atakuwa kakatwa kwani kuna madhara gani hapo, maana mie najua madhara yanakuwepo wakati wa kukeketwa tu
hujui mchango wa hio kitu ? acha kudanganya!!! $0ma vzr umuhimu wa kine**mb
 
Nimekusoma mkuu, lakini pia kuna hili suala la wazee kwamba walishawahi kutuonya tusioe wanawake waliokeketwa, hawakutoa sababu ila walitusitiza kuwa kuna mambo yanaweza tokea hapo baadae na tukajutia, hivyo wakati mwingine hizi raaz za wazee ni shida kwa kweli!
Anyway kwa kuwa sijawahi muuliza, nitamuuliza kwa ujanja nipate ukweli isije ikawa ni maumbile tu, nashukuru kwa mchango wako!
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…