Kwani njia ya kujifungua inahusiana vipi na pale palipokatwa, wakati wa kujifungua kila mwanamke hupoteza damu sasa kwa nini aliyekatwa apoteze zaidi??Mkuu madhara yapo bhna, wakati wa kujifungua anaweza kubleed sana na kupoteza maisha, zipo complication nyingi wakati wa uzazi.
Pia huwa hata tendo la ndoa anakuwa hafurahii sana,
Vile vile kuna jamii nyingine huwa zinaweza kuwatenga wanawake wa aina hiyo.
uo ni unyanyapaa. so kama kakeketwa ndo umuache, af amuoe nan¿Adabu ni zaidi ya hicho kidude mkuu...
Ila hicho kidude kutokuwepo kina athati zake..
Kwani njia ya kujifungua inahusiana vipi na pale palipokatwa, wakati wa kujifungua kila mwanamke hupoteza damu sasa kwa nini aliyekatwa apoteze zaidi??
Inabidi niende Google aisee
Anachelewa kupata,kusoma ujui ata picha hauoni?? angalia hisia anapata kwa haraka au anachelewa kupata
Mara nyingi hushindwa kujifungua kwa njia ya kawaida maana njia ile inashindwa kutanuka vyema hali inayoweza kupelekea kupoteza damu nyingi zaidi kuliko kawaida!Kwani njia ya kujifungua inahusiana vipi na pale palipokatwa, wakati wa kujifungua kila mwanamke hupoteza damu sasa kwa nini aliyekatwa apoteze zaidi??
Inabidi niende Google aisee
Mkuu ujue ukeketaji unapigwa sana vita, unajua ni kwa nini?Sasa kama target yako ni hicho kidude, ipo siku utakutana nao wenye virefu vimepitiliza mpaka vinaning'inia. Sasa sijui utakuja tena kuomba ushauri umekutana na dume jike.
Hizo mambo wanaume huwa tunakausha, we piga pipe tu, kusisimka au kutokusisimka is not a big deal.
Kweli kabisa...Mbunye bila kiharage ni sawa mboga bila chumvi...
Dah....pole mkuu. Pussy bila clito ni sawa na ɓuree....
Nimeshajua kwannHapa sina cha kuchangia
Ni kweli mkuu, yaani panakuwa empty basi mzuka unakuwa si kivile...Ukikutana na mwanamke ambae wameondoa hilo jukwaa la wakubwa kunakuwa hamna mzuka huwezi kupiga hata kinanda na sisi wengine wachimba chumvi tunakosa shughuli ya kufanya
Mkuu, picha ya nini?Leta picha, itakuwa rahisi kukusaidia
Picha ili tuthibitishe kama eneo pendwa lilipitiwa na kipanga au la, inawezekana macho yako yakawa yamejaji vibaya.Mkuu, picha ya nini?
Mbona maelezo yanajitosheleza..