[emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah..tupia picha bana..[emoji4] [emoji13]
Tooba yarabi! shughuli huwa ipo kwenye kuzaa, tear yakufikia pia kuna complication nyingi hupata wakati wakujifungua ikiwemo Postparturm haemorrhage(PPH)Hayo ni maumbile yake tu.
Na mfano kama atakuwa kakatwa kwani kuna madhara gani hapo, maana mie najua madhara yanakuwepo wakati wa kukeketwa tu
Hilo pia mkuu nililona, huwa naweza mfanyia romance hatari kumshika sehemu mbalimbali, kutumia romantic language lakin inachukua mda kwake kusisimka, tofauti na wengine! Jambo ambalo hapo naendelea kupata wasiwasi..Kama anawai kusikia nyege uyo hajakeketwa jaribu kumshika nyonga asiporuka tu muulize maana ni haki yako kujua
Mkuu madhara yapo bhna, wakati wa kujifungua anaweza kubleed sana na kupoteza maisha, zipo complication nyingi wakati wa uzazi.Hayo ni maumbile yake tu.
Na mfano kama atakuwa kakatwa kwani kuna madhara gani hapo, maana mie najua madhara yanakuwepo wakati wa kukeketwa tu
Ahsante mkuu, kwa kumuelimishaTooba yarabi! shughuli huwa ipo kwenye kuzaa, tear yakufikia pia kuna complication nyingi hupata wakati wakujifungua ikiwemo Postparturm haemorrhage(PPH)
Daah, ya nini sasa mkuu?Dah..tupia picha bana..[emoji4] [emoji13]
Adabu ni zaidi ya hicho kidude mkuu...Njoo unioe mimi
Nina sifa zote kasoro adabu
(kama hicho kidude ndo cha muhimu zaidi)
Kwa nini mkuu..?Hapa sina cha kuchangia
Sidhani kama linaweza kuwa tatizo la kupelekea msioane unless labda kuna tatizo jingine.
Wazee wangu walishawahi kutuonya kuwa kamwe tusije oa wanawake waluokeketwa, hawakutupa sababu rasmi sana, hivyo ikiwa ni kweli maana huwa wanachunguza sana wanaweza pengine kuacha raaz n.kSidhani kama linaweza kuwa tatizo la kupelekea msioane unless labda kuna tatizo jingine.
Maamuzi unaweza kuwa nayo mwenyewe Mkuu.Wazee wangu walishawahi kutuonya kuwa kamwe tusije oa wanawake waluokeketwa, hawakutupa sababu rasmi sana, hivyo ikiwa ni kweli maana huwa wanachunguza sana wanaweza pengine kuacha raaz n.k
Pia kuna hizi complication za kujifungua zinanipa wasiwasi...