Mchango wa mawazo na ushauri kuhusu burn

Yusuph Issa

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2013
Posts
528
Reaction score
82
habari zenu wanajamvi na amani iwe nanyi wakina gudgement,heaven on desert,earth,beauty by nature,bishanga na member wote wa chit chat bila kujali jinsia wa kabila tafadhali naomben ushauri nitawezaje kupata burn coz hili neno nimelisikia mara nyingi hapa jf so nahitaji kuexperience,nitashukuru kwa mchango wowote wa mawazo nawasilisha!!!!!!
 
Kweli wewe ni kilaza haaaa Bishanga tuition hiyo unaitiwa na Heaven on earth sijui kama mnaweza kukaa mezaa moja na Judgement as nawaona mkigombea mademu humu kila mara.

Mamndenyi ! Mamndenyi ! The cold war you begin to destroy my kopo!
Itashindwa!
Yaani mie mume wa mwenyewe then nigombanie vischana ?
Taa'fadhaliy n'take radhi , tena through bandiko!
Na ole wako YNNAH anitaliki ! Wewe ndy utavaa jezi kucheza ombwe lake!
Utahudumu kila alichonihudumu YNNAH !
Includin kuusuuza mkono wa elephant wangu.
 
Last edited by a moderator:

Naomba nipatambue pa kusuuza nkono wa elephant kama jukumu mama
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kwanza useme unataka burn ya how lon? bw. YUSUPH ISSA
then tukushauri roadmap to go for
 
Last edited by a moderator:
washa jiko la gas halafu lilalie...hapo utapata burn
 

"Burn"..!??
 
hamia siasani kule...

utapata zote burn na ban
 

Ha ha haaa na habari ndo hiyo ukitaka nisiseme nipe ua jekundu mmmmh ooooho unalo.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa na habari ndo hiyo ukitaka nisiseme nipe ua jekundu mmmmh ooooho unalo.

Wee jiongeleshe tu!
Hivyo vya ua jekundu sijui la bluu!
Utajaviongea wakati nikiwa masuuzoni !
 
Wee jiongeleshe tu!
Hivyo vya ua jekundu sijui la bluu!
Utajaviongea wakati nikiwa masuuzoni !

Haaa haa ha nataka akuache na mie ndo niko na mwanasiasa wangu huku ni lazima utange na njia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…