Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

Mchango wa HIARI kwa Dr. Ulimboka

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
WanaJF naomba tuweke tofauti pembeni

Mimi professional yangu ni kutoa huduma ya afya kwa jamii
hiki kitendo cha serikali kufanya unyama kwa mwantahaluma mwanzangu
kimeniuma sana na sasahivi anapata mateso sana

MImi kama raia bila kusukumwa na mtu nitamchangia Dr. Ulimboka Tsh 50000
kwa ajili ya kusadia matibabu yake.

Naomba wanaJF wenye moyo ulioguswa na haya mateso atoe kwa moyo tusadia Dr Uli....

Naomba @Max Melo au admin wa JF aweke Namba yake hapa ya Mpesa nitatuma mchango wangu kesho

Narudia tena huu ni uhuni na unyama katika nchi yetu

505046725.JPG

MIMi naanza wewe je?

1. Dr Kupeng'e.......Tsh50,000
2........................................
3........................................
4,.........................................
 
2. georgeallen.........$10
 
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..
 
Kwani anahitaji mchango wa gharama za matibabu pale kweli? Mie nilidhani anahudumiwa kama staff. Taasisi nyingi huwa zina special arrangement kwa watumishi wake wanapohitaji huduma inayotolewa na taasisi husika. Hii haiapply kwa Dr Ulimboka? Au ye sio wa MNH? Naomba nielimishwe kwanza hapo. Itaniongezea ufahamu. Asante.
 
Je yeye kama yeye na famikia yake wametoa tamko/ombi kuwa tuchangie gharama za matibabu?nimeuliza tu msije kunishambulia.
 
ambiguity...... lakini siyo fair hata kidogo. haki ya mtu haipatikani hadi kwa ncha ya upanga. ndo haya yanayotokea leo. kama viongozi wa ludism na chartism wasingekufa,leo wafanyakazi wangekuwa kama mizogo mbele ya waajiri wao.

kwa umoja wetu tutashinda
 
Mpangamji 20,000 wekeni utaratibu vizuri. Tunaweza uita ni mchango wa pole kwa Dr kutoka JF members
 
Lugha hii haitarajiwi kutoka kwa Great Thinker. There is always a better way to express a great thinker's discontent.

Not every member of Jf is a GT,ndo maana wa kwanza katoa kauli za kuudhi naye kajibiwa kimaudhi!
 
Kumbe MOI kuna ICU ya kimataifa.

Mchango wa nini na anatibiwa bure?
 
Kumbe MOI kuna ICU ya kimataifa.

Mchango wa nini na anatibiwa bure?

Huna unakaa kimya sio kuleta mawaaazo hapa mkuu! usipochangia hutaulizwa,afterall tunakujua ni mmojawao
 
Amanda 20,000/= wekeni utaratibu wa kufikisha michango yetu.
 
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..

Acha uongo wewe unasubiri mtu afe kwani private hospitals hakuna? Pesa unayotumia kuingia mtandaoni si uende ukatibu.

Na hilo jina lako inaonekana unawahitaji sana madaktari hawa.

Wanaua? Ok sema hivyo ila mazingira yao ya kazi unaona sawa tu esp. Wao kuambukizwa migonjwa etc?
 
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..

steve biko alipoteswa na serekali ya makaburu mpaka kufa nao walimuita marehemu steve biko muuaji uelewa wako ni mdogo sana au wewe ni mmoja wa washiriki wa kuvunja haki za binadamu tunahitaji tume huru
 
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..

sio wote walisoma kwa kodi zenu - wengine wamesoma private schools - nursery, primary, o- level, A level - medicine degree courses, masters (specialization) kwa hela zao - na hao utawaambia-aje????? ILAUMU SERIKALI YAKO YA CCM INAYOFIKIRIA HUDUMA NI BURE - UDAKITARI NI UJUZI BINAFSI WA MTU - KAMA INAHITAJI HUDUMA MLIPE IPASAVYO - MPE VITENDEA KAZI NA JALI KITENGO CHA AFAYA -

MUUAJI - NI SERIKALI YA CCM - SIO MADAKTARI
 
Mimi nilidhani mtaonyesha msisitizo wa mgomo wenu bila ubaguzi kuonyesha mpo siriazi,Kumbe mnachingishana kutibu mgonjwa anayetibiwa bure na habanwi na mgomo
 
MImi kama raia bila kusukumwa na mtu nitamchangia Dr. Ulimboka Tsh 50000kwa ajili ya kusadia matibabu yake.
505046725.JPG
.
I wish siku moja polisi wagome wiki moja tu na dhani tutaheshimana kuwa kila mtu ni muhimu kwenye kazi yake. Ugua pole mkuu lakini pia ujue huduma unayopata hapo hata wale uliowagomea wanaihitaji kama wewe unavyoihitaji bila kujali kama gvt imetekeleza mapendekezo yenu,
 
Good idea. Mie Terabojo 50K

what if pesa ikitumwa kwake Dr ulimboka au KATIBI WA chama cha madaktari direrctly - JF admin organise.
 
Back
Top Bottom