Mchango kwa ajili ya ujenzi wa maktaba shule ya Babro

bwegepeponi

Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
74
Reaction score
13
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??
 
Ada ya hiyo shule ni Million4 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

Bado wanaomba michango?
 
Mwizi mwenye nguvu ni sawa na mtu msafi mbele za watu, lakn usafi wa mwizi hutumia fedha na shughuli za kijamii kujitakatisha.
 
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??
mkuu hiyo ni zuga tu. Mama anatapa tapa kujisafisha.
 
Ada ya hiyo shule ni Million4 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

Bado wanaomba michango?

Mbona wanawafanya watanzania ni mbuzi wa maziwa kwani hao wanasoma bure si wanafanya biashara 4m na bado mchango wa maanara hii kali
 
Hiyo shule huenda ikawa ni sehemu inayotumika kupiga pesa.Hivi Bilion 1.6 zinaweza kujenga majengo mangapi?
 
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??

Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)
 
mkuu hiyo ni zuga tu. Mama anatapa tapa kujisafisha.

Mkuu hii ni zaidi ya kuzuga kama hii habari ni kweli. Ni matusi makubwa kwa Watanzania na ukosefu mkubwa wa aibu. Kwa akili ya kawaida katika kipindi hiki walitakiwa wasitishe shughuli zote za kuomba misaada hasa ya fedha ili kukwepa kuamsha hasira za wananchi. Ukiwauliza utasikia shule inakabiliwa na changamoto nyingi na ndio inaomba msaada na watu kama Ruge kuamua kusaidia. Hovyo kabisa.
 
Kutokana na wingi wa shule za sekondari nchini,ni muhimu kwa profesa Tibaijuka kuangalia namna ya kuibadilisha shule yake iwe taasisi ya elimu ya juu au taasisi ya ufundi(ujasiriamali,teknolojia ). Kwani hizo ngazi zitakazomwezesha mtoto wa kike kushindana katika karne ya 21,mimi nikiangalia kumuenzi mama Babro ni kitu bora na ni lazima kiendane na wakati.Mama Babro alipigania kuwaendeleza walalahoi,kwa sasa kumuendeleza na kumuandaa mtoto wa kike kukabiriana majukumu ya 50/50 ni lazima mikakati iwepo katika elimu ya juu au maarifa na ufundi endelevu.
 
Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)
Watu wanatuchezea akili zetu. Bilion 3 za nin? Hiyo ni pesa kubwa sana. Wanajenga nn? Au wanataka kujenga ikulu shuleni?
 
Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)

Hata kama wanadaiwa, mwaka huu walipandisha Ada kutoka 3.5m hadi 4.5m na kuwaambia wazazi lazima walipe else wafungashe vitoto vyao kwenda shule za kata. Je nyongeza hii haitoshi? Gharama za kuendesha shule ni kiasi gani? Wanafunzi wako four star hotel? Mbona menu na human nyingine kawaida saana! Acheni tamaa. I say Shame on you again!
 
Na wewe uliamini ule mpinga wa escrow ulienda kwenye hiyo shule???
 
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??

Mkuu source ya thread yako wapi ? Unafikiri ni wajinga sana waweke ada 4m afu waombe mchango tena kupitia wanafunzi. Ile shule wanafunzi wengi wanatoka upper class family ndo mana ata watu walihoji juu ya Tibaijuka kupewa 1.6b kwa shule pamoja na utetezi aloutoa mwenyewe.
 
kuna siku maajabu yatashangaa vituko vya binadamu
 
Hebu wekeni picha ya hiyo shule tuone inafananaje
 
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??

Wewe unaamini kabisa 'mkwanja' ule uliingia kwenye akaunti ya shule hiyo?
 
Back
Top Bottom