DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Kumbuka 1.6 zilitoka 2013. Sasa zitakuwa zimeshaisha
Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)
Ada ya hiyo shule ni Million4 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.
Bado wanaomba michango?
Hivi serikali haiwezi kutukomboa dhidi ya ubakaji huu!!??
Hiyo shule huenda ikawa ni sehemu inayotumika kupiga pesa.Hivi Bilion 1.6 zinaweza kujenga majengo mangapi?