MCHANGO KCMC hospitali yetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MCHANGO KCMC hospitali yetu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wikiliki, Feb 15, 2011.

 1. Wikiliki

  Wikiliki JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana jf ni matumaini yangu kila mmoja wetu anajua umuhimu wa KCMC kwa umma. Hospitali hii inakabiliwa na changamoto nyingi hasa upungufu wa wodi za kulaza wagonjwa hasa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wogonjwa. Ninaombeni kila mmoja wetu aguswe achangie ujenzi wa wodi mpya. Kuchangia tuma neno KCMC kwenda 15551 utakatwa T.shilingi 300tu. Wana jf tuonyeshe mapenzi ya kwa KCMC,asanteni.
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Upatu
   
Loading...