mchangiaji wa bajeti ya ku-copy na ku-paste

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Huyu mama nadhani aliwahi kuwa ni mwimba taarabu. Anaitwa nani? She is so disorganised!
Kama vile kakaririshwa akaongee nini.
 
Tunakokwenda mgombea ubunge anatakiwa aangaliwe uwezo wake katika nyanja mbalimbali
 
Mmmmh uwezo duni wa wabunge wa CCM sijui utatufikisha wapi.
 
imebidi nibadili chanel kwaajili yake. Yan kama vile yupo studio anaingiza voko! Cjajua jk alitumia kigezo gani kumteua! Anafaa zaid kwenye mipasho!( taarabu)
 
Nashukuru hata wewe umeliona hilo, afu yupo nervous ndo maana sauti yake iko juu.
 
Huyu mama nadhani aliwahi kuwa ni mwimba taarabu. Anaitwa nani? She is so disorganised!
Kama vile kakaririshwa akaongee nini.
Mama yupi? weka thread yako wazi kwani wachangiaji wengi sio "organised", mie naona wanasimama na kutangaza maendeleo kwenye majimbo halafu wanaishia kuolodhesha msululu wa matatizo ambayo wanaomba serikali iwasaidie.
 
kaisifia ccm kuwa imefanya mambo mazuri sana tabora na mwisho kaanza kuyataja matatizo mengi ya tabora .sijui hajui anaongea nini huyu mama.poleni sana wana tabora kwa kuwa na kilaza kama huyu
 
Ukiangalia mwanzon alipotajwa ajiandae alimulikwa na kamera akitengeneza nyweli,akiweka staili ya rihanna. Tunapoelekea tusichague 'vikuku' tuweke kigezo cha elimu,ni muhimu sana. Anasema eti watu waanze kukopeshwa bila security kama hati ya nyumba na kadi ya gari. Anadhan wanaokopesha ni govt au? Hajui hata professional credit and lending. Kukimbia shule ni kama laana!
 
Kanichekesha kasifia tz imeendelea ghafla namsiki kumbe hawana soko miaka ming mi nlijua hana shda..tatizo kapania afu njuka..viti maalum wiz mtupu
 
Mama yupi? weka thread yako wazi kwani wachangiaji wengi sio "organised", mie naona wanasimama na kutangaza maendeleo kwenye majimbo halafu wanaishia kuolodhesha msululu wa matatizo ambayo wanaomba serikali iwasaidie.
Mkuu hata jina sitaki kumjua, ila ni mchangiaji mwanamama kutoka tabora. Ndo mchangiaji wa mwisho kabisa leo tarehe 16 June 2011
 
eti anaitwa ....., Tambe Abdalah. Yaani hlo domo lake limekaa ki mipasho mipasho 2 cjui nini vle. Hana logic ya presentation hata kdogo. Aende akauze kitumbu-.- huko kwao Tabora. Eti anatamba Tabora hakuna mbunge wa upinzani. Kazi tunayo.!?
 
Ukiangalia mwanzon alipotajwa ajiandae alimulikwa na kamera akitengeneza nyweli,akiweka staili ya rihanna. Tunapoelekea tusichague 'vikuku' tuweke kigezo cha elimu,ni muhimu sana. Anasema eti watu waanze kukopeshwa bila security kama hati ya nyumba na kadi ya gari. Anadhan wanaokopesha ni govt au? Hajui hata professional credit and lending. Kukimbia shule ni kama laana!
Kanifurahisha sana mkuu, namshauri akasome lending models tofauti tofauti jinsi zinavyo operate ndo aanze kulalamika. FINCA na TUNAKOPESHA LTD inatakiwa wamshtaki kwa kuwaharibia reputation yao kibiashara.
 
Kama kuongea ni hivyo unategemea akasome kweli na hasa mambo yakiwa yako kwa kizungu ? CCM ni upupu wako wengi lakini hawana vision hawa .
 
Ni wa kupewa huko Tabora . Mwimbaji wa mchiriku

Afu eti wanataka wananchi tusiandamane! Tusiandamane wakati wabunge tunaowategemea wanaimba mchiriku bungeni??? Wabunge karibu wote wa CCM wapo kulinda maslah yao na ya chama! Hawapo kwaajili ya wananchi kabisa!
 
Hao ndio wachumba wa viongozi wetu,wanatetewa kwa gharama yoyote waingie bungeni lakini hawajui kujenga hoja,hawajui kujieleza wala kuichalange gvnt ilete maendeleo.mtu anasimama na kuisifia serikali kwa muda mrefu then mwishoni anaomba itatue matatizo jimboni kwake bila kuikosoa mipango ya serikali na anafahamu fika bajeti haiwezi kutatua hizo kero.je tutafika kweli kwa mipasho hiii?
 
Inasikitisha sana mkuu! Mtu anaanza kwa kuisifia gvt lakini mwishoni anamalizia kwa kusema wananchi wanakufa njaa. Anasahau kwamba gvt inatakiwa ifanye zaidi ya ilichokifanya hadi sasa.
 
eti anaitwa ....., Tambe Abdalah. Yaani hlo domo lake limekaa ki mipasho mipasho 2 cjui nini vle. Hana logic ya presentation hata kdogo. Aende akauze kitumbu-.- huko kwao Tabora. Eti anatamba Tabora hakuna mbunge wa upinzani. Kazi tunayo.!?

wasipoongea tunasema, wakiongea tunawacheka, sijui wafanyeje sasa.... huyo dada hapo ndio uwezo wake ndio umefikia mwisho kabisa

aisee....
 
Kuliko kuongea kama alivyoongea huyu mama ni bora kutokuongea kabisa... Amejidhalilisha sana... Wakati mwingine kukaa kimya ni busara!...
 
Back
Top Bottom