hii ni baada ya vikao vingi na makada wa ccm na wengine wa cdm huku mikocheni b nyumbani kwa nape nnauye ambako ndugu mchange habibu sasa ameamua rasmi kujiunga na ccm kama walivofanya mwampamba na shonza waliohamia ccm hivi karibuni.mpango huo ambao pia unamhusisha kwa karibu kada mmoja wa chadema aitwaye greyson nyakarungu ambaye amekuwa akikutana na mwigulu nchemba maeneo mbalimbali na hivi karibuni katika hoteli moja kubwa ya jijini kwa ajili ya kuratibu hili wanaloita pigo tukufu kwa cdm. Kama ilivyokuwa kwa akina shonza na mwampamba,mchange pia atazungushwa maeneo mengi hasa ya ukanda wa pwani,mikoa ya tanga,tabora,morogoro na dar es salaam katika mpango maalumu wa kueneza sumu ya udini na ukabila ndani ya cdm.si muda mrefu mchange atafanya uamuzi huu anaodai ni kwa mustakbali wa taifa na watu wa dini na makabila yote.