Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

si ajabu CCM kuwapokea wao chadema waliwapokea .

Dk Slaa.

John shibuda

Acardo Ntagazwa

James Millya

na wengine

siasa zinahitaji uvumilivu huwezi kusema waliohamia chadema walikuwa mamluki ndani ya CCM.
 
ningeruhusiwa kuoa mke wa pili ningemposa Juliana Shonza ili waache kumchezea mtoto mzuri hivi! Kweli naumia,pole sana dada Shonza kwa yote unayokumbana nayo.Imagine na ccm walivyo na makundi,wakikutema utaenda wapi? Labda kwa kaka mbatia,
 
Ni jambo la aibu sana kijana msomi kujitambulisha hadharani kuwa wewe ni mnafiki,mwongo,mzandiki na huna adabu.Nawahurumia sana vijana hawa maana future yao sio ktk siasa tuu bali hata maisha ya kawaida wameiharibu wenyewe.
 

Wahamie Mara ngapi?
 
Usaliti huwa una gharama zake, ni muda tu wahusika watapata ujira wao iwapo wameamua kutumika. Huko Kanda ya Ziwa sina hakika kama wataweza kusalimika bila kichapo unless waende jimboni kwa Shibuda mwenyewe.
 
Unapomiliki danguro, halafu baadae ukaamua kujichukulia mke wa ndoa kutoka humo humo, lazima uwe umeamua!
 
Lowasa, mbabe wa CCM ameishindwa CDM, Shibuda mnyonge kabisa hatoweza , kuwa na Mdomo Mpana ni maumbile tu wala si kigezo cha kujua kuongea , ndiyo maana kuna wanawake wenye makalio makubwa sana lakini ni Wagumba !
 
Tunawatakia kila lakheri sana hawa wadau! Wajiandae kukumbana na zomea zomea za wananchi kila waendako, maana CCM na viongozi wake ni kuzomewa tu kwa kwenda mbele siku hizi! Tunawasihi katika ziara yao wasiacha kuja na Arusha!
 
La kuvunda halina ubani! Ni mpumbavu gani huko mikoani asiyejua kazi za DrSlaa, hadi aanze kusubiri kumsikia Shonza?

Watakwenda kuwahubilia CCM kile wanachopenda kusikiliza................. CCM ni kama walokole na biblia hawachoki kusikia kile wanachopenda kusikia hata kama utarudia hicho hicho kila siku kwao ni sawa tu!!
 
kama hawaijui kanda ya ziwa waambie wamuulize baba yao PINDA kilichomkuta viwanja vya sahara
 
hao kina shonza wanapata umaarufu humu jf.huko nje watu hawawafahamu ..kwangu hao ni saw ana ''ndorobo''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…