Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,231
- 10,102
Wakuu habari zenu naombeni msaada wa mawazo Nina mpango wa kujenga kighorofa kimoja.
Jinsi niyakavyo ni kujenga chini jiko halafu kwa juu yake nataka kuweka chumba cha master yaan chumba na choo tu chumba nataka niweke kitanda meza ya kompyuta, kabati basi na tv ukutan labda na kieneo kidogo cha kuweka sound system bas ngazi napenda itokee kwa nje..
Kwa wenye msaada wa kimawazo je itapendeza au? maan eneo nmepata kwa wazaz sasa naona kuliko kumaliza gharama Kwny kupanga bora nijenge chumba kwa nje maan eneo bado lipo na ata ikitokea nkiondoka basi wataishi wajukuu ambao wanaishi na bibi na Babu yao.
Mfano wake japo ni tofauti ila ni kama picha hii