Uko sahihi kabisa.
Mtu unapotaka kufanya biashara yoyote ile ni lazima uandae STRATEGIC PLAN ambayo haiwezi kuwa comprehensive & effective kama hujafanya kitu kinaitwa SWOT analysis (S=Strengths, W=Weaknesses, O=Opportunities & T=Threats).
Refer:
SWOT Analysis: How to perform one for your organization - YouTube
Sasa mimi nahitaji wataalamu waniandalie (japo najua ninaweza kuwapatia inputs because I am aware of the basics of such kind of a thing), mimi nahitaji niwe naweka targets zangu tu then watendaji wawe wanajipanga watafikiaje hizo targets (waibe, wasiibe hainihusu). Kama nimepanga by 2014 niwe na total assets zenye thamani ya 5x my current capital then nikajikuta napata 6X my current capital na wakati huo huo wakawa wameiba sana tu - wala sintojigusa, kwa sababu malengo yangu yatakuwa yametimia! Tatizo wabongo huwa tunataka tukabe hadi penalt!
So, I need competent planners!