hmjamii
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 627
- 312
Kesho nenda mwanza mjini tafuta duka la cosmetics lolote then muombe mwenye duka akakutambulishe kwenye maduka ya jumla, pia muulize kuhusu bei na bidhaa zinazotoka kwa haraka, ukienda kichwa kichwa muuzaji wa jumla atataka apatie faida kubwa kwako, ukijua bei ya jumla na rejareja nunua mzigo, then baada ya hapo sasa.
Piga namba hii ya mama mmoja anaitwa Mama XXXXX yuko mwanza hapo hapo huwa anaagizwa hizo Cosmetics Uganda +25575574XXXXX. Tafadhali sana huyo mama ni mtu mzima kwa hiyo naoma uwe serious kweli.
Piga namba hii ya mama mmoja anaitwa Mama XXXXX yuko mwanza hapo hapo huwa anaagizwa hizo Cosmetics Uganda +25575574XXXXX. Tafadhali sana huyo mama ni mtu mzima kwa hiyo naoma uwe serious kweli.