Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Wadau,

Wale ambao tunahangaika na biashara na harakati za kujikwamua kwa kufanya biashara au shughuli zetu kitaalam, now it is a time.

Kwa wanaohitaji vitu vifuatavyo:

a. Business Plan - Tunaaandika business plan nzuri sana za aina mbalimbali bei inategemeana na aina ila inaazia Tsh 150,000/=

b. Business/Service Proposal - Kuna unahitaji kufanya biashara na mtu/kampuni na unahitaji kumpa ' proposal' ya biashara yako iliyoandikwa kitaalam bei Tsh 200,000/-

c. Memorandum & Article of Association - Tunakutengenezea hii kwa ajili ya kufungua kampuni bei ni kuanzia Tsh 200,000/= tunaweza kumaliza na huduma nyingine zoote za company registration

d. NGO Documentation, - Tunatengeza documents za Ngo kama vile katiba, HR Manual, na registration support bei inaanzia Tsh 200,000/=

Karibuni nyote, bei zetu ndogo ni kwa kuwa tunataka kusapoti moyo wa ujasiriamali haswa haswa kwa vijana.

Mawasiliano,

emicoltd80@gmail.com, +255 754 237973

Ofisi iko wapi?
 
Bado napokea maelezo zaidi!
Na je, ni lazima kila business ya milioni 20 na zaidi inatakiwa ifunguliwe na kusimamiwa ktk mfumo wa kampuni?
 
Ukitaka kupata zaidi ni lazima utowe. Usiwe mbakhili.

Kama fani yenu kufanya hizi business plans ndogo ndogo mseme tu, ntawasukumia vikazi vingi tu. Msitaharuk.
Umenena, tusukumie vikazi mumii, hapa shilingi haikatizagi! hata jiti tunakamatia kwa bidii zote! keep waiting from you!
 
idea yng haijawah kufanywa na mtu yoyote yule tht y nasema ikifanikiwa nimetusua maisha hya sema changamoto iliyopo hii idea inategemea mifuko ya watu wengine: coz mi cpo poa economically na hyo ndyo ndyo obstacles iliyopo ila inshallah mungu anisimamie ktk hili

Patnership hutaki?
 
Mchango maridhawa kabisa.
Hakika ukifuatwa, huwezi shindwa katika Biashara unayoanzisha na mafanikio ni lazima.
 
NITEMBELEE KATIKA: DEVELOPMENT CONSULTANCY SERVICES NITAKUJUZA MENGI ZAIDI, NA UTANI CONTACT KUPITIA FORM HUMO, NADHANI UTAFIKA UNAPOHITAJI.
Habari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.
 
asante kwa kuwa na moyo wakukomboa vijana kwa bei zenu za chini .Jambo muhimu ni kufanya kazi kwa uaminifu na kukamilisha kile mteja anahitaji kwa muda mfupi
 
hongereni....

Mkuu utakapohitaji huduma yoyote kati ya hizo karibu, we offer high quality service with professionalism and integrity, yet in an unbelievable price. Sisi tumedhamiria kusapot na kufanya tofauti.
 
Mkuu utakapohitaji huduma yoyote kati ya hizo karibu, we offer high quality service with professionalism and integrity, yet in an unbelievable price. Sisi tumedhamiria kusapot na kufanya tofauti.

Dah, ndugu yangu unatisha kwa promo bado tu upo???
 
asante kwa kuwa na moyo wakukomboa vijana kwa bei zenu za chini .Jambo muhimu ni kufanya kazi kwa uaminifu na kukamilisha kile mteja anahitaji kwa muda mfupi

Mkuu that's what we do and we try hard.
 
Back
Top Bottom