ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
wakuu
waswahili walisema, mbaazi ikikosa jua huzingizia jua
hii naweza kuifananisha na yaliyotokea na yanayoendelea hapa nchini hususani katika suala la maslahi ya watumishi wa umma kuwapandisha madaraja, nyoongeza ya mishahara na kutoa ajira mpya kwa wasomi wa nchi hii
inasemekana kuwa shughuli zote zitasitishwa mpaka hapo litakapotatuliwa suala la makinikia, huu mchanga wa madini imebainika ndio itakua chanzo kikubwa cha maslahi ya umma hivyo serkali imeamua kulipigania hili ili iweze kuboresha maslahi ya watumishi kwa kiwango kikubwa, pia kutoa ajira kwa vijana
watumishi na watanzania wengine tumuunge rais mkono afanikiwe katika hili na tuwe wavumilivu