donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Sasa funga ya mtu inakataza watu wasi post??Unajua kuna watu wamefunga aise ww unapost picha kama hiyo
Kumbe ndio wewe umekaa kwa pale
Hahaha wapi mkuuKumbe ndio wewe umekaa kwa pale
RaadhimAstakaflah....
Kama funga ya mtu ina haribiwa na kuona vyakula, pombe n wanawake. Unakaa njaaa bure.Unajua kuna watu wamefunga aise ww unapost picha kama hiyo
Karibu gone mkuuHii kitu inabidi nikaitafute leo
Haka ka neno, kamenikumbusha far saana...Raadhim
Ngoja nimalizie kibarua kwanzaKaribu gone mkuu