Teh swali zuri sana hili.......Swali langu warumi ndio nani?
Nani kamwaga pombe yangu?
Una swali lolote au kitu chochote ambacho ungependa kujua kuhusu warumi??,ushauri na je kitu gani uwa unakifurahia kutoka kwangu au kuchukia? Wakati ndio huu,nimetoa nafasi adimu kwa kila mtu kutoa maoni au duku duku lake kuhusu mimi.Zingatia maadili tu , karibuni...
Duh sasa maswali mengine magumu,sasa unapouliza mimi mtamu una maana gani? Utamu upi?,swali lako halijibiki,nisaidie kufafanua uo utamu unaouzungumzia