Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Ukifanikiwa kujiunga unapata faida gani?
Simply intelegent ya kumudu maisha yako kwa 100%, Wana funds zao nje ya kukopa bank,pia kuna fee kama vikoba unalipa kila muda fulani,na pia zinamuunganiko duniani kote hivyo wana fedha nyingi sana!...wana wataalamu wa kibiashara, construction, consultants,Ukiwa memba wao hakuna kukwama kila msaada rafiki wa kweli unapatikana humo./
 
Wana utamadunibwa kukutana ?
Kuna issue za ibada?
 
Umeanza na neno mchakato!!

Kwa hiyo unataka wanachama wa hiari humu ama sivyo!!!
 
mafunzo bora ambayo makanisani si rahisi kuyapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…