Mchakato wa kujiunga na Freemasonry

Nina swali kidogo mkuu "Tunajua fika kuwa freemansonry ni wapinga kristo au uwepo wa Mungu kwanini waweke vigezo vya kwamba mwombaji awe muumini wa dini yoyote? Ina maana nini hatma yake baada ya maisha ya hapa duniani? They believe after life?
Dini zimeanzishwa na binadamu hazina uhusiano na Mungu.
 
ok.🐒
 
Lakini kamwe hutojua utakufa lini na utakufaje
Kwa exprience ya ndugu yangu ambaye yupo humo,nimeshuhudia wakifundishwa namna mbalimbali za ufanyaji kazi wenye bidii kubwa,kulobby opportunity haraka,kutokuwa waoga kukopa bank,jinsi ya kukopa fedha,jinsi ya kutumia kwa umakini mkubwa,jinsi ya kuepuka watu wasio na manufaa kwako,jinsi ya kuzingatia muda wako vizuri,
Ni masomo haswa!sio mchezo,masomo yao mrengo wake mkubwa ni ustawi wa kiuchumi zaidi.
 
Tujiunge fasta
 
Hivi ndo hawa wa dawa ya msalaba ambao wanasifika usukumani Katoro na viunga vyake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…