Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Kinachofata ni kuulizwa maswali mengi kama upo police na kupigwa picha kama jambazi pamoja na kukwanguliwa vidole vyako na nyembe hadi damu itoke kidogo ili wapate alama z
Mbona kama unataka kunitishaKinachofata ni kuulizwa maswali mengi kama upo police na kupigwa picha kama jambazi pamoja na kukwanguliwa vidole vyako na nyembe hadi damu itoke kidogo ili wapate alama zako.
Ko kumbe hivi hivi hamna mpaka chochote kituKuna mdau alinielekeza kwamba ukitoa 50000 unapata kama hauna kitambulisho chochote unatoa 70
Cha kuzaliwa kipo mbali Cha la Saba nishakipoteza Sasa sijui itakuajeWaenda nida na hayo makaratasi na cheti chako Cha kidato Cha nne/darasa la saba au cheti Cha kuzaliwa,kama hauna hivi huko nida hawakuandikishi.
Miongoni mwa maswali hayo ni kama yapiKinachofata ni kuulizwa maswali mengi kama upo police na kupigwa picha kama jambazi pamoja na kukwanguliwa vidole vyako na nyembe hadi damu itoke kidogo ili wapate alama zako.
Yaani wanadai hivyo,labda kama ni huku kwetu TU.Cha kuzaliwa kipo mbali Cha la Saba nishakipoteza Sasa sijui itakuaje
Hii ndiyo njia rahisi japo haramuKuna mdau alinielekeza kwamba ukitoa 50000 unapata kama hauna kitambulisho chochote unatoa 70
Chimbuko la ukoo wako kuanzia babu yako wa nane hadi kufikia wewe na historia nzima kiujumla.Miongoni mwa maswali hayo ni kama yapi
Sikutishi nakusanua ukweli.Mbona kama unataka kunitisha
Sasa kama sijui alikozaliwa Babu inakuwajeChimbuko la ukoo wako kuanzia babu yako wa nane hadi kufikia wewe na historia nzima kiujumla.
Ufatiliaji wa hiki kitambulisho inakuchukua mda saaana, kama una mishe zako inakuwa ngumu kidogo coz hakuna mda maalum wa kukipata,Ko kumbe hivi hivi hamna mpaka chochote kitu
Utaambiwa wewe siyo mtanzaniano.Sasa kama sijui alikozaliwa Babu inakuwaje
Unaweza kusoma maelekezo ukafika ofisini ukakutana na mambo mapya, si unajua hizi ofisi za serikali kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake halafu hakuna ufatiliaji wala uwajibikajiKama unajua kutumia mtandao ingia website ya NIDA soma maelezo yote
Ni lazima uwe na cheti chako cha kuzaliwa na mzazi mmojawapo hivyo ndivyo vitu vya muhimu zaidi, kama huna nenda kwa mwanasheria kachukue affidavits. Hivyo vingine sijui vya shule ni mbwembe tu, kama uliishia darasa la sita cheti cha darasa la saba utakipata wapi.Sasa kama sijui alikozaliwa Babu inakuwaje
Mbali ambapo huwezi kukifuata au kutumiwa??Cha kuzaliwa kipo mbali Cha la Saba nishakipoteza Sasa sijui itakuaje