Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 379
- 125
pole sana mkuu,
ila kubadilsha jina kisa dini mimi kwangu naona haina faida! kwani kama ulkua unaitwa Mohamed John na sasa unaitwa Mohamed Hassan inakuongezea nini? Jina ni jna tu hata waweza itwa Dunia, Meza, Ngengemkeni, Bahari n.k na likawa jina lako!
Ushauri - Rudia jina lako la awali halafu acha udini
Asante kwa Ushauri wako,kuniita Mdini ni hisia zako tu kwa sababu Mimi sina dini ila ipo Imani na Mungu niliyemchagua!!
Na hata kama ningekuwa kuwa nimebadilisha jina kwa sababu ya Kuacha dini moja na kuingia nyingine bado huo si Udini unless tuwe tuna tafsiri tofautitofauti za neno Udini!!!
Think Bigeace: