Mwelewa JF-Expert Member Jan 5, 2011 2,343 3,284 Apr 27, 2016 #3 Mkuu ulipaswa uandike "mchakato uliishia wapi" sio kiliishia wapi? Anyway, haya mambo yanafanyika hovyo tu nchini mwetu. Tumetumia billions leo hakuna mwenye habari na mchakato wa katika mpya.
Mkuu ulipaswa uandike "mchakato uliishia wapi" sio kiliishia wapi? Anyway, haya mambo yanafanyika hovyo tu nchini mwetu. Tumetumia billions leo hakuna mwenye habari na mchakato wa katika mpya.