Elections 2010 Mchakato majimboni live TBC - Arumeru Mashariki

mkuu huyu mgombea wenu anaelimu gani, nimependa jinsi alivyojitahidi kujibu kwa hoja nzuri
nadhani wenye chama watakuja kusema ila he has done a good job hasa kwa kutumia statistics na demography hata kama ni abstract tu!!! mie sina chama nasupport mwenye uwezo wa kuchanganua mambo so far naona dogo yuko juu
 
Arumeru masharika, Hakuna wa kumfikia mgombea wa Chadema. Ccm kama kawa, wameogopa na wote mikia yao wameificha matakoni na mbwa koko - Aibu yetu aibu yao? Aibu yao wenyeweeee
 
Back
Top Bottom