Mchague Mwenyekiti Mpya MMU 2014

Mchague Mwenyekiti Mpya MMU 2014

Status
Not open for further replies.
kama ulikuwepo safari hii viti maalum wanashika wao ni dhamu yao acha sisi tushike mjengo waone tofauti kati yao na sisi
Ndio kusema mmewaachia wanaume nafasi ya viti maalum au????
 
Wakibeba mimba kwa mpigo MMU inastop sio?? Ha ha ha ba
 
Ha ha ha ha! mi nita comment wakiihamishia kule Chit chat.
 
hili mmelfanya mwenyekiti mpinduliwa akiwepo?? Nawaza tu isjekuwa ya rege na thimba
 
Yaani wewe umekuja kuficha mapinduzi yako ya CC huku MMU...watu mna mbinu za usaliti kama ZZK
 
umesema kama nan watu8 embu rudia tena hapo
 
Last edited by a moderator:
ina maana nimekosa cheo ama!!? mwaka huu haujaanza vizuri kwangu. ngoja nifanye mpango wa kwenda bagamoyo kurecharge.
 
ina maana nimekosa cheo ama!!? mwaka huu haujaanza vizuri kwangu. ngoja nifanye mpango wa kwenda bagamoyo kurecharge.

ucjali ntakuwa kibarua cha kubeba briefcase ya hela.
 
Nani kafungisha ndoa haya majukwaa??

Ngoja wadau tuhamie CC kama ni mwendo wa reverse!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom