JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Nimeipenda sana bt usirudie tena, nawaheshim wakwe zangu!
ningetaka kitimoto si ningeenda kuanguka kimara kwa wafuga kitimoto
Mnaboa sana . Kama mmekosa wa kuwasema semeni makabila yenu?
Mnaboa sana . Kama mmekosa wa kuwasema semeni makabila yenu?
Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Nimeipenda sana bt usirudie tena, nawaheshim wakwe zangu!
hivi kumbe jina lingine la wachaga ni u*up*?! thanks mkuu...mnavyo washwa na wachaga....!!