MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kessy Hamisi, Jul 11, 2012.

 1. K

  Kessy Hamisi Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaa baada ya kugundulika kuwa ni yeye aliyempa mimba mtoto aliamua kwenda kujisalimisha kwa wazazi wa mwanamke
  JAMAA:Shikamoo baba,mimi ndiye niliyempa mimba binti yako lakini siwezi kumuoa ila kama akizaa mtoto wa kiume nitakupa Milioni 50,kama akizaa mtoto wa kike nitakupa Milioni 20 lakini mzee je kwa bahati mbaya mimba ikiharibika tufanyaje?

  MCHAGA:Daah! haina jinsi baba'angu itabidi uumpe mimba nyingine.
   
 2. manumbu1

  manumbu1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  ilikuwepo hapa
   
 3. KML

  KML JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  somehow
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hatujasahau ilikuwepo
   
 5. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  no matter ilikuwepo or not, mchaga ni noumer
   
 6. m

  mi sitaki Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha hahaaaaaaa mbavu zangu jaman baba na mama mankaaaaaa chaaaaa
   
 7. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani wewe mgeni nini?
   
 8. K

  Kessy Hamisi Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sina muda mwingi hapa tangu niwe member
   
 9. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hauna msingi

  hahahaha........ ebwana kare..... kuwepo kutokuepo haijalishi u dn hv to comment......... watu wanajoin jf evuridei
   
Loading...