saleh sule
Member
- Dec 25, 2011
- 47
- 8
jamaa mmoja wa kichaga alikuwa anachota maji kisiman kwa bahat mbaya akadumbukia kisiman mkewe akaja na kamb mpya kumuokoa mumewe akamuuliza hy kamb umenunua sh ngap?mkewe buku mumewe rudisha kwa masawe ni sh 500 fanya haraka nitazama
Mi mchagga ndio ila sio kaka ni dada.kaka we mchaga nini?
We naweeee, ovyooo......copy and paste ishakuwepo hapa jamvini last month
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
Yaani una-bore, kama huna la kuchangia unaweza kuendelea na shughuli zingine