Mchaga is Eating Pudding

Kuna utambuzi wowote kuwa ni Mchaga?? au Denge!!
 
Boflo huna maana kabisa...hiyo pudding sio urojo unaokula ukienda kucheza susmiyu?
 
We Boflo una utani na wachaga? Subiri wenye mjomba wao waje!
 
Last edited by a moderator:
We jamaa mbona unatutafuta.
 
Tafaadhali bwana we Boflo, huyo si mchaga labda MPARE anafuturu uji wake wa pilipili.
MCHAGA ANGESHIKA CHIBUKU YA MBEGE
 
hehehehehheheheeeeeeeeee boflo bwana
 
mmmmmh.. Hivi pudding kwa kichaga inaitwaje vile?
 
Huyo si Mchaga tu bali ni Mkata majani wa Kichaga
 
Mami Bofloooooooo..........

Wape Wachaga habari yao.

Wachaga siku hizi wamekuwa WATANI wa Makabila yote Tanzania.

Hongereni/Poleni sana.
 
Aiseeee baba yungu mchaga anashika kata ya mbege na ilo ni bakuli wala si kata

mmeku umekosea sisi wachaga 2najijua kwa vilemba

ngoja nijipongeze kwa mbege
 
Kitu imetulia hiyo weweee, inapigiwa sebuleni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…