Mchaga aumbuka!

Mchaga aumbuka!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mchaga mmoja alikuwa akifanya biashara ya kuuza vacuum dry cleaners.Siku moja mchaga akiwa na vacuum dry cleaner zake alipiga hodi nyumbani kwa baunsa mmoja.Alipofunguliwa mlango,akatoa salamu halafu bila kuremba akamwaga kinyesi cha mbwa kwenye carpet la manyoya halafu akasema;'aisee babaangu,hii vacuum dry cleaner isipoondoa hiki kinyesi chote,kitakachobaki nitakula mwenyewe'.Baunsa akajibu;'we sema tu una hamu ya kula mavi ya mbwa,umeme wenyewe umekatika'.
 
Lol...labda alikua na jenereta! Wachaga wajanja sana
 
[
avatar23356_4.gif
QUOTE=Rejao;2787022]Lol...labda alikua na jenereta! Wachaga wajanja sana[/QUOTE]
Jamani Rejao kwanza nilikumiss! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa na ile operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India? Ndiyo maana uliadimika!
 
achaaaaahahahahaahahahaahahaahaha...... alikiaaaaaa
 
Kumbaav...aisee chalii angu nitakutoa nduki...unanisinizia !huyo alikua ni mkude gangwe sio mangi Yesuuu
 
[
avatar23356_4.gif
QUOTE=Rejao;2787022]Lol...labda alikua na jenereta! Wachaga wajanja sana
Jamani Rejao kwanza nilikumiss! Ulikuwa wapi? Naona tayari umeshafanyiwa na ile operation ya ngozi ukawekewa ile ya kitimoto. Umefanyia wapi? India? Ndiyo maana uliadimika![/QUOTE]

umentengua mbafu sangu asee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom