Mch. Venon Fernand wa Agape TV anataka asamehewe deni la 5bils kutoka TIB

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Mch Veno Fernandes wa agapr TV alikopa TSHS 5bils Kutoka Tanzania Investment Bank na Sasa ameandaa Nyaraka za Uongo Kuonyesh Kwamba ameingia hasara katika Miradi yake na hivyo kutaka Benk imufikirie kuhusu kurejesha fedha hiyo.

Kutokana na Nyaraka alizowasilisilisha inaonyesha kuwa amepata hasara kubwa sana Kwenye miradi Yake!!!!!!!!!
 
mtasikia mengi tu...kumbe njia ya mbinguni ni nyembamba kweli kama watumishi wetu ndio hivi...
 
Nijuavyo mimi, anayekutuma kazi ndiye anayekufadhali ili kazi yake isikwame. Kama huyu mtumishi aliamua kukopa maana yake kanisa analiendesha kwa nguvu zake mwenyewe (Kibinadamu zaidi). Kama angekuwa alitumwa na Mungu, Mungu siyo maskini wala siyo ombaomba mpaka akope.

my take:
Kama ni kweli alikopa, anamdhalilisha Mungu au hakutumwa na Mungu ndio maana mambo hayaendi!
 
Fernandes ni wheeler-dealer, big time! Hilo kanisa analoendesha has very little to do with god, if any! Ni biashara yake na mkewe, sasa mambo yanaanza kuwa mazito tunaona anakuja na strategy ya kumshambulia Mwl Nyerere ili kupoteza mada. Mkopo uko pale pale rudisha hela za watanzania wanyonge!
 
Nijuavyo mimi, anayekutuma kazi ndiye anayekufadhali ili kazi yake isikwame. Kama huyu mtumishi aliamua kukopa maana yake kanisa analiendesha kwa nguvu zake mwenyewe (Kibinadamu zaidi). Kama angekuwa alitumwa na Mungu, Mungu siyo maskini wala siyo ombaomba mpaka akope.

my take:
Kama ni kweli alikopa, anamdhalilisha Mungu au hakutumwa na Mungu ndio maana mambo hayaendi!
Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.
 
damn! bongo bwana magumashi hadi church tutafika kweli..
RIP TZ

hii ishu ni ya jukwaa la uchumi na biashara ndo mahala pake
 
Pastor anamiradi gani tena em tujuzeni enyi waumini watukufu wa kanisani kwake, na hata wale ambao mnataarifa!
 
Historia ya huyu jamaa imejaa mizoga ya dhmbi na ufedhuli na hakuna kilichobadilika ni usanii tu wa kuchuna waoga kwa ahadi za mbinguni wakati kwake yeye duniani ndio mbingu yake na mkewe. Waulize majirani zake alivytaka kuwazuia wasitengeneze barabara ya kupta kwenda jogoo kwa kisingizio eti kapewa lile eneo kwa ajili ya park za waumini wake tena akaja na hati za kufoji1 Ilibidi watu waende mpaka manispaa ndo kugundua kuwa haka kajamaa ni lifisadi la kigoa japo nasikia kazaliwa tanga!
 
Mch Veno Fernandes wa agapr TV alikopa TSHS 5bils Kutoka Tanzania Investment Bank na Sasa ameandaa Nyaraka za Uongo Kuonyesh Kwamba ameingia hasara katika Miradi yake na hivyo kutaka Benk imufikirie kuhusu kurejesha fedha hiyo.

Kutokana na Nyaraka alizowasilisilisha inaonyesha kuwa amepata hasara kubwa sana Kwenye miradi Yake!!!!!!!!!

Hapo kwenye red thibitisha vinginevyo wewe nishahidi wa uongo na agenti wa giza!
 
unamaanisha kuwa mtumishi wa mungu naye ni fisadi?.
kama unakumbuka miradi ya kilimo kwanza inavyo liwa na wakubwa t katika benki hiyo mpaka kamati ya bunge ikaingilia!!!

Kumbuka watu wote wanaopewa mikopo tib majina lazima yatokee ikulu kwa mkuu wa kaya!!
Kilimo kwanza kimeua kodi za wanyonge kwani wanaopewa si wakulima!!!
Hapa ndipo mch. Fernand alipo tumia mwanya.......
 
Thibitisha we agent!!!!
 
Mtumishi wa Mungu Pst Fernande's kama amependelewa na bank akapewa loan sio dhambi, Mungu anazo njia nyingi za kufanya kazi zake mladi tuu awe mwaminifu. Soma Mwz 12: 35-36.

Sijui mwenzangu unatumia Biblia gani. Katika Biblia takatifu Mwazo Sura ya 12 haijafika aya au mstari wa 35-36 imeishia 20 tu. Ili nisikuone mkurupukaji niambie ni maandiko gani ulitaka kuyanukuu na yanasemaje!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sijui mwenzangu unatumia Biblia gani. Katika Biblia takatifu Mwazo Sura ya 12 haijafika aya au mstari wa 35-36 imeishia 20 tu. Ili nisikuone mkurupukaji niambie ni maandiko gani ulitaka kuyanukuu na yanasemaje!
Samahani nilipitiwa ni KUTOKA 12: 35-36 Ebu soma hapo pole kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom