Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 878
- 3,920
“TUNAPOSIKIA MTU AKISEMA WAMEKUFA WATU 10 TU NCHI NZIMA, TUNAMSHANGAA SISI KAMA WATUMISHI WA MUNGU”
"Hapo juu kanisani kwetu watu 13 wamekufa kwa mpigo, na maeneo mengine katika mji wetu, ilionekana miili imelala mabarabrani. Kwa hiyo tunaposikia mtu anasema wamekufa watu 10 nchi nzima tunamshangaa sisi kama watumishi wa Mungu"-Mchungaji Stephen Ling'hwa John, Msaidizi wa Askofu, KKKT, DMZV