Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

Huyu mama ni zaidi ya haya ya dhuluma
 
Hata mimi nimeona mida hii ziko nne zimevunjwa pamoja na ukuta wake wa uzio
 
Star TV pia wameonyesha hii habari. .

Mama Mchungaji alijenga nyumba Mbezi pasipo kibali.
Pili alivamia kiwanja cha mjane na kuanza kujenga. ..
Aliitwa mahakamani wakati anaanza ujenzi ila inasemekana alikaidi. ..
Leo askari wenye silaha walisimamia shughuli ya ubomoaji
 

duh sipati picha hao maskari najuaa wanavyotaka sifa ha ha ha
 

umesahau. Kuwa Huyu mama ni mbia was prince kwenye ile biashara ya sembe. wakati prince anaksmatwa China mama aliwahi kuchomoka na Leo yuko wanted china
 
Hizo nyumba ni zaidi ya mil. 30
 
Mimi mbona nimesikia na kuona tofauti na nyinyi? Nilivyoelewa mimi suala siyo kujenga ufukweni bali ni kujenga ktk kiwanja cha mtu mwingine aitwaye Ngowi jina la kwanza limenitoka ambaye ni mwanamke, zile nyumba wala siyo za kifahari kihivyo kwanza bado hazijaisha kujengwa hata kidogo, hata hivyo kama aliambiwa akakaidi kaingia hasara kubwa kwani angeweza kuokoa angalau mabati ama angenipa mimi nikayatumie kwingine jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…