Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Status
Not open for further replies.
Tuonyeshe matusi aliyotukana.tatizo lenu magamba you call a spade a big spoon.hebu lingnisha na kauli hizi alafu to draw conclusion nani katukana hasa:mramba nitanunua ndega ya rais hata kama watanzania wanakula majani.magufuri asiyetaka kulipa nauli ya sh 300 apige mbizi.simbachawene atakayeona umeme ni aghari awashe kibatari.fikria kidogo alafu urudi.

asante mkuu,hapo ngoma inogire.hawa magamba sijui wamelaaniwa
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.
Sasa tusi liko wapi hapo? Au ni macho yangu? Mkuu tafuta hoja nyingine tuchangie! Au ni hilo neno "period" ndio limekupa shida? Kachukue dictionary itakusaidia lakini pia upate maana kwa muktadha wake!
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

We mjusi tuonyeshe tusi hapo
 
Hk kizee kivivu cha kufikir.afu nan kakfundsha kuingia JF mana wenzake wanasklza viredio
 
Habari za Jioni hii.

Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.

"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa

Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.

Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????

Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???

Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???

Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????

My take;
Mchungaji jirekebishe.

Kama uzee ndio huu mi sizeeki kamwe!
mzee gani hujui la kuongea?
 
roho yangu huwa inachefuka sana ninaposikia msigwa anaitwa mchungaji
 
Kama uzee ndio huu mi sizeeki kamwe!
mzee gani hujui la kuongea?
tatizo lenu nyie hamtaki kuona au kukubali makosa kwa watu mnaowapenda ndio maana akina babu wanafanya wapendayo mnawatetea
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mchungaji wa mbuzi au nguruwe.

Anachunga watu (Kondoo wa Bwana) madhabahuni, anachunga mbuzi ktk shamba lake na Anachunga Nguruwe akiwa Bungeni akiwa na wana CDM wengine.
 
labda nyuma ya laptop yangu lakini kwa huku mbele sijaliona hata tusi la mwilini achiliambali la nguoni.....hapa sasa ndipo utakapoona matatizo ya watanzania hivi huyu mwenzetu kabla ya kuandika haya alitumia nini kufikiri?

Ndiyo maana toka jana nilikuwa na uvivu kuingia kusoma huu upuuzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom