Nina maswali mengi sana yananiumiza kichwa na majibu yako ya jumla yanazidi kunichanganya, hivi huyu "babu" aliongea na Mungu kama alivyoongea na Musa wakati anampa amri kumi?
hivi yule dogo shehe sharif alikuwa anafanya tiba bure?Mimi sina shida na ndoto yake ila wasiwasi wangu mie upo kwenye "mia tano" huyo aliemuotesha ndoto ni huyu huyu Mungu wa Isaya na Yakobo? aliemfanya Yesu akawaponya watu bila malipo? au kuna Mungu mwingine aliemuotesha? je hizi mia tano (sio nyingi kwa mtu kushindwa kuimudu) lakini je zinaenda wapi? Mungu alimpa maelezo ya hizo "mia tano"? je Mungu huyu tumjuae sie wa Isaya na Yakobo anahitaji mia tano zetu??????????
hivi yule dogo shehe sharif alikuwa anafanya tiba bure?
. Homework tuliyonayo ni:
1. je, hii ni imani ya aina gani?
2. imani hii inamuelekea mungu gani?
3. hii ni imani ya dini gani?
4. mungu mwenye utaratibu huo alioutoa ni yupi?, yuleyule aliyemtuma Yesu duniani kuokoa wanadamu, au mwingine?
Toka mwanzo nimesema waziwazi kuwa kutokana na utaratibu mzima wa ndoto hii na ufunuo huu na jinsi unavyotekelezwa likiwemo:
· hilo la kutoza sh. 500/- kwa kila kichwa,
· tiba kwa kikombe kimoja cha dawa bila kumhudumia mgonjwa kiroho,
· tiba kufanyikia loliondo peke yake,
· wengine wanapewa kikombe wakiwa ndani ya magari na wakishakunywa wanageuza na kuondoka bila hata neno moja la Mungu
· nk.
Acha kukupwa wewe yule dogo mnaye muita Sheikh Shariff anayedai kuwa anauwezo wa kuponya watu kwa maandiko ya Quruan mpona uwa anadai pesa? usijifanye ujui.Sheikh Shariff Who? acha kutoka nje ya mada hapa tunazungumzia