Mch Mtikila Hakuwa Mgombea Urais. Alishindwa Kurudisha Fomu Tume Ikamuegua

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Wakuu. Mtikila hakuwa mgombea urais mwaka huu. Alichukua form na akachelewa kurudisha. Hivyo tume ikamuengua katika kinyang'anyiro. Uchaguzi upo palepale wakuu.. Tume haijafiwa na mgombea urais. Kwa hiyo mtanange uendelee kama kawaida
 
Back
Top Bottom