Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,144
- 2,450
Yeye na wewe mko ktk ulimwengu tofauti. Huwezi kuelewa haya. Nuru na giza haviwezi kupatana. Wewe ni sehemu ya giza (ukosefu wa uelewa na ufahamu). Pole sana..Huyu mgonjwa wa akili ameshamaliza kiki yake aliyojitengenezea ili apate umaarufu wa mgongo wa Mkurugenzi wa Usalama?
Kuna sehemu walisaini mkataba lakini ikibidi DP World ateme ndoano!Mmeambiwa dawa ni kuwakalia kimya TU.
Tutapiga kelele lakini mamlaka haiwajibu yenyewe itatenda TU.
Huu mkataba ushapitishwa muda utasema.
Na tumeambiwa hakuna mwenye mabavu.
Eti mwanasheria nguli kilaza mkubwa weweHuyu mgonjwa wa akili ameshamaliza kiki yake aliyojitengenezea ili apate umaarufu wa mgongo wa Mkurugenzi wa Usalama?
Sasa kwa nini wanaendelea kushikiliwa ndege yetu? Hawa Waarabu hawana rafiki kabisa. Kama wanashika ndege yetu leo, huko mbele si ndiyo satatunyonyoa kabisa bila hata maji!?Mmeambiwa dawa ni kuwakalia kimya TU.
Tutapiga kelele lakini mamlaka haiwajibu yenyewe itatenda TU...
Huyo mwamba wa kikosi cha Injili Mungu ambariki sanaUkombozi wa pili taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka..
Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupugania HAKI....
Mbarikiwa anasema Injili ya kweli ni ile inayokemea Dhulma na uonevu......Wakatoliliki wako sahihi 100%MBARIKIWA ubarikiwe!!!
Mkataba Ule ni BATILI na FAKE ,ufutwe haraka!!
Ukweli ukisemwa mnaita watu wana mental health😂 kweli tamko la TEC no tishio hadi jk alitoka pangoni😁Huyu mgonjwa wa akili ameshamaliza kiki yake aliyojitengenezea ili apate umaarufu wa mgongo wa Mkurugenzi wa Usalama?
Jikite kwenye madaHuyu mgonjwa wa akili ameshamaliza kiki yake aliyojitengenezea ili apate umaarufu wa mgongo wa Mkurugenzi wa Usalama?
Mama abdul mswahili haswaaaaaa mie nimeona taarabu Tu Hana jipya japo moyo unamdundaMmeambiwa dawa ni kuwakalia kimya TU.
Tutapiga kelele lakini mamlaka haiwajibu yenyewe itatenda TU.
Huu mkataba ushapitishwa muda utasema.
Na tumeambiwa hakuna mwenye mabavu.
Kuwasifia Ruksa, ila kuwakemea wanapopotoka ni utovu wa nidhamu!!Mbarikiwa anasema Injili ya kweli ni ile inayokemea Dhulma na uonevu......Wakatoliliki wako sahihi 100%
hataree sana mkuuKuwasifia Ruksa, ila kuwakemea wanapopotoka ni utovu wa nidhamu!!
Ni Afadhali kuadhibiwa na WANADAMU Kwa kusema Kweli kuliko kuadhibiwa na Mungu Kwa kunyamazia UOVU!!
KabisaKuwasifia Ruksa, ila kuwakemea wanapopotoka ni utovu wa nidhamu!!
Ni Afadhali kuadhibiwa na WANADAMU Kwa kusema Kweli kuliko kuadhibiwa na Mungu Kwa kunyamazia UOVU!!
Wahubiri wakweli wanahubiri injili ya haki na kukemea maovu.Asante Sana Baba Mchungaji
Nyungu nyungu zote zimeibukaUkweli ukisemwa mnaita watu wana mental health😂 kweli tamko la TEC no tishio hadi jk alitoka pangoni😁