LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 253
Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.

Mtajuta mno kwa pesa zenu eti kwa wana maombi wote ni wahuni tu akina Lwakatare na kampuni ya simu ya Sasatel .They are just ratsMchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.
Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.
Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.
Pole sana endelea kulala unono na usingizi mzito, kwa sababu kwa sasa hakuna Mtazania makini mwenye mawazo kama yako.Kwa mimi itanichukuwa muda mrefu sana kuharibiwa ufahamu wangu kuwa ccm inatatizo kubwa, ni kweli kuna mambo ya kurekebisha ila kwa sasa hakuna kama ccm.
Huna tofauti na wale wanaopinga filamu na cartoon ya kumdhalilisha mtume wakati hata hawajaiona. hear saying ni mbaya sana, unaweza kulishwa sumu kwa mtazamo wa mtu mmoja binafsi.
Chadema kama ndio ina watu wenye mtazamo huu tukiwapa nchi mtageuka madikteta kama hamtaki kusikia habari kinyume na matakwa yenu. Lusekelo hana tatizo lolote kwa kipindi chake cha jana licha ya kwamba hata mimi najuwa fika yeye ni mganga njaa tu.