Mch.JOSEPHAT GWAJIMA MUOMBEE DKT MWAKYEMBE.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,213
Mch.Josephat Gwajima aliejizolea Umaarufu wa kupambana na Nguvu za kichawi kwa Jina Yesu,Nikuombe Sasa ukiwa Mjumbe wa Mungu,Ukamfanyie Maombi DKT HARISON MWAKYEMBE taifa bado linamuhitaji,Mungu ni Mweza Wa Yote.
Najua humu wapo wa kupeleka Taarifa hz,
Mungu akuguse ukamwombee.
 
Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,519
1,393
Mch.Josephat Gwajima aliejizolea Umaarufu wa kupambana na Nguvu za kichawi kwa Jina Yesu,Nikuombe Sasa ukiwa Mjumbe wa Mungu,Ukamfanyie Maombi DKT HARISON MWAKYEMBE taifa bado linamuhitaji,Mungu ni Mweza Wa Yote.
Najua humu wapo wa kupeleka Taarifa hz,
Mungu akuguse ukamwombee.
Halafu?
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Kisha Yesu akalia akasema baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, lakini si kama nitakavyo mimi bali mapenzi yako yatimizwe! Ni kweli tumuombee sana Dr Harison Mwakyembe lakini tusisahau na mapenzi ya Mungu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom