Mch. Gwajima amgomea Makonda

Mch. Gwajima amgomea Makonda

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.

Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.

Chanzo: Kutoka magazetini.
 
Duuh hajui huyo ni milinzi wa amani aka mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, ila nchi hii kuna baadhi ya watu wana raha wakitoa maneno yanayodhaniwa yamemkashifu mtu mwingine wanachoambiwa waende kituo cha polisi wakaripoti wenyewe lakini wengine utatafutwa kwa marungu au hapo hapo unapotoa hayo maneno unazuiwa na kufunguliwa mashitaka.
 
Mchungaji wa makanisa ya kipentekoste mch. Josephat Gwajima amesema hatapoteza muda wake kwenda kumuona Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.

Amesema barua aliyoipata toka kwa Mkuu wa Wilaya imemfedhehesha na kasema hataijibu itajibiwa na maombi ya mnyororo yanayoendelea.

Chanzo: Kutoka magazetini.

Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
 
Mbona Sinema Hii Ni Rahisi Sana Kuing'amua! ( Bernard membe = Paul Makonda Na Edward Lowassa = Gwajima ) Mwisho Wa Sinema Yangu.
 
Makonda mpiga watu aende kufanya nn? pumb.f. zake huyu dogo.
 
Safi sana Gwajima, hakuna kucheka na Kima. Makonda alikuwa anatafuta Kick ya kisiasa kupitia watu maarufu. Mwendo huo huo.
 
Binafsi sidhani kama Mch. Gwajima amekurupuka katika kauli yake. Nadhani kuna jambo na ndo maana amegoma kwenda kwa Kamati inayoongozwa na Makonda. Ikumbukwe kuwa Makonda Mwenyewe hana nidhamu kwani kipindi fulani aliwahi kuporomosha mvua ya matusi kwa viongozi wetu lakin hakuna Jeshi la Police wala Kamati ya ulinzi na usalama iliyomwita kumuhoji.
Sheria za nchii zina macho kama ya Kova.
 
Gwajima kachemka.Mkuu wa wilaya aweza futa au omba NGO fulani ifutwe au isifanye kazi wilayani kwake.hajui role ya mkuu wa wilaya kwenye NGO? ASUBIRI MUZIKI WAKE
Afute NGO kwa sababu zipi labda aendeleze utoto wake wa kutafuta sifa kutoka kwa watu maarufu kama alivyofanya kwa Warioba.

Anachotakiwa afanyekazi aliyopewa na atoe feedback amefikia wapi kwenye utatuzi wa migogoro sugu ya viwanja wilaya ya Kinondoni.
 
Hivi kunakuwaga na maombi ya kisasi?!makonda huyu afundishwe misingi ya uongozi(rule of law) yeye sio polisi wala mahakama
 
Hivi huyu Makonda si ndiye alimpiga mzee Warioba? Afadhali Gwajima alishashtukia mapema!

Makonda anatengeneza mazingira ya kukosana na Gwajima ili wapate Sababu ya kumfukuza pale Viwanja vya Tanganyika pekas, hili bifu limeratibiwa kisayansi sana Lengo Gwajima atolewe nduki pale kawe.
 
Afute NGO kwa sababu zipi labda aendeleze utoto wake wa kutafuta sifa kutoka kwa watu maarufu kama alivyofanya kwa Warioba.

Kuna masharti na mambo ambayo NGO ikiwemo hiyo ya Gwajima inabidi iyafanye au izingatie katika utendaji wake ikikiuka yaweza futiwa usajili mkuu wa wilaya akiita sio wito mdogo.Kuhojiwa na polisi hakuondoi yeye kwenda kwa mkuu wa wilaya.Mkuu wa wilaya ana kazi zake kuhusiana na NGO na polisi wana kazi zao kuhusiana na mambo ya kazi zao.
 
Back
Top Bottom