Mch. Antony Lusekelo na "shombo"

watz bana kila kitu tunapenda kuangalia in negative way hivi hakuna hata siku moja amesema maneno ya busara? Usimjaji kwa mawazo yako binafsi jaribu kufikiri nje....
 
Teh teh teh!
 
Unachongea unakijua??? Usitete uovu dhambi inatabia ya kumtafuna mtu..! Ngono zembe matunda ni majuto ikiwa ni pamoja na kulea mtoto peke yako.
 
Hiyo yote tisa kuna siku aliponda wanaume wafupi eti wewe mwanaume mfupi utaoaje mwanamke mrefu afu wewe ndo kichwa cha familia mfupi kushindwa mkeo!!
Hampendi ukweli kwanini? Saikolojikally iko hivyo wanawake walefu wanadharau sana menshortiii...
 
Sasa ujipozee na nini mkuu kama ulipanga ratiba ya kumuangalia mtumishi ili upate neno na ukapata ulichotaraji ni sawia kabisa hakuna cha kujipoza hapo. Jpili ijayo kabla ujapanga ratiba za kwenda huko njoo hapa omba ushauri alafu .....
MSITOE SADAKA MWAMBIENI SADAKA NAZO NI SHOMBO KAMA SHOMBO NYINGINE,AU KAMA VIPI FANYENI KAMA WALIVYOFANYA BANDARINI
 
Hawa wachungaji wengine ni tabu tupu.

Ndiyo maana wengine tumekataa kuamini dini, tumekataa kuamini Mungu, tunaishi maisha kwa kutumia akiki zetu wenyewe. Na hilo halina maana tunaishi maisha ya ukatili au immoral.

Ukifuata wachungaji kama hawa unaweza kunyanyapaa watu ukifikiri unafuata maagizo ya mtu wa mungu.

Upuuzi mtupu.
 
You are missed big bro.
 
Mkuu mtu anayeitwa mtumishi/nabii hawa wanaoanzisha madhehebu yao, wengi wamejikita ktk mambo mawili;
1. Kutafuta ukuu
2. Kutafuta utajiri
Ukiwasikiliza mafundisho/mahubiri yao yanazungumzia matoleo(sadaka+michango mingine ya fedha na mali) na kutoa utajiri. Matendo ya huruma kwa masikini kusikia ni nadra sana.
 
Kama gazeti hujalisoma hata kama limesomwa na dunia nzima bado kwako ni jipya.Hainaga shombo wala ushemeji
 
Huyu Muhubiri ana matusi na kashfa sana. ni wa kumuombea Mungu amsamehe.

Ni heri sasa awe anatayarishiwa mahubiri kwenye karatasi asome kama hotuba. Manake haeleweki ni mtafuta riziki, mtu wa Mungu au mpiga dili. Maneno kama Mafala, Mabumbafu , Wajinga na mwisho atakuja kutukana kabisa.

Sasa hii tunaoiona kwenye runinga na kusikia kwenye radio imekuwa edited ipo hivyo. Live ipoje sasa. Anafundisha vibaya ajirekebishe. ndiyo lakini hana maadili ya Kikristo na Kimungu.
 
sasa wewe kweli na akili zako wenda oa mtu mwenye mtoto / watoto zinakutosha kweli unazani kuna siku utakuwa baba wa wale watototo ?
 
Mie mwenzenu kusema kweli ht mahubiri yake huwa siyaelewi zaidi ya kale ka wimbo ka tano tano. Yaan vululu vululu tu wala hakuna habari za wokovu.
 
Cjamwelewa kabisa pale kanisani kwake kuna wajane na wakina dada wengi wailoolewa na kuachika au kufiwa na wanaomba wapate ndoa tena so wale ndo shombo? lugha kulingana na mahali ulipo vnatakiwa kuzingatiwa vnginevyo ni shida hasa sehemu kama kanisani au msikitini unapaswa kuwa makini sana unapoongea.
 
Huyu Mchungaji huwa ananiacha hoi sana.n
Kwanza angalia bango lake, halina ujumbe wowote wa kiroho zaidi ya picha yake na anapenda sana misifa. Eti yeye ni transformer .. mzee wa upako .... u mimi mwingi. Zaidi mahubiri yao hujenga hofu ili wapate pesa, sio kukua kuroho.

Ningelikuwa Magu ningeyafungilia mbali hawa matapeli. Wanapenda kuonyesha wanaoanguka na kupiga kelele ili wapate pesa. ....imendikwa...watatoa mapepo kwa kutumia jina langu. Hawasisitizi sana mambo ya kiroho bali sehemu kubwa ni ya kimwili. Kwa sasa na matajiri sana wa kimwili hawa watu. Tuwakemee, bango lake li google utaliona. Halina neno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…