MC wa Mwanza mpo?

TUJITEGEMEE

Platinum Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
27,289
Reaction score
27,992
Hongereni na kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani, mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya.

Kwakweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa kumueleza mwalimu wenu aliyewafundisha topic ya "Kusherehesha wakati wa kutoa zawadi" kuwa anatafutwa. Hivyo, popote alipo ajisalimishe!

Mjumbe hauwawi.
 
Nini tatizo mkuu hebu niambie kwa niaba ya wenzangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…