Mc na sifa kwa bi harusi

Mc na sifa kwa bi harusi

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
2,784
Reaction score
1,317
MC,..............karibuni mabibi na mabwana
wageni,........Asanteeeeeeeeee
MC,..............bi harusi wa leo huwa havai kabisa nguo za ndani
wageni,........mshangoa aaaaaaaaaaaaaaah
MC,.............,Ni kweli siwatanii ndugu waalikwa huwa havai kabisa nguo za ndani ya nchi ...........,malizia mwenyewe
 
Nashangaa huyo MC aliwezaje kumaliza sentensi yake vizuri bila hata kupata japo ngumi ya pua au sikio.
 
Mawazo potofu ni sumu
MASHROUD NI KWELI TENA YANAUA
 
Back
Top Bottom