Bahati mbaya nliupgrade kompyuta from window 8 to ten nkafanya backup ya data halafu kumbe window 10 ina option ya kubakiza kila kitu , nkakosea nkafuta ile backup pasipo kukumbuka kuwa nlishavifuta...hebu weka video clip ya moja wapo ya semina zako za ku inspire vijana.