livingroom_espionage
Member
- Jul 8, 2026
- 37
- 75
Hiyo almost 1m ni advance au malipo yote kwa mkupuo?Mimi ni mmoja wa wanakamati wa harusi ya mdogo wangu inayofanyika siku chache kwanzia sasa, umepokea pesa huonyeshi ushirikiano ? Je ni uungwana mpaka nakuja huku kulalamika ujue kwamba unataka kuharibu sherehe ya ndugu yangu.
Sasa kiingwana mtu wa karibu wa MC chipolopolo mwambie hiyo hela almost 1M hutafika popote na unazidi kuharibu Brand uliyotengeneza Muda mwingi sana
Kwa hiyo umeamua kunitishia nyau siyo! Hao Clouds wako watanifanya nini kwa mfano?Usipoendelea kupokea simu ya yule Dada, Kesho hii habari utaikuta Clouds
Huyo MC ni mimi mjomba. Hata huyo dada aliyesema sipokei simu zake namfahamu anaitwa CarolineUna uhakika yupo humu
ππ umeshavuta mawe ya watu kazi unakwepa kwepaHuyo MC ni mimi mjomba. Hata huyo dada aliyesema sipokei simu zake namfahamu anaitwa Caroline
Wajinga ndiyo waliwao mjomba πππ umeshavuta mawe ya watu kazi unakwepa kwepa
ππ easy moneyYaani katika vitu ambavyo mimi sivielewi na naona kuwa watu wanalipa gharama kubwa pasi na msingi ni hili la MC....
Yaani mtu kuongea ongea pale mbele kwa masaa kadhaa ndio analipwa kweli malaki kama sio mamilioni....
Mimi kulikuwa na sherehe ya mdogo wangu(ndoa) wenyewe waliandaa na msema chochote (MC) kwa bajeti Yao ambapo ni hela nyingi kidogo.....yule jamaa akawa mzushi mzushi kama huyo wa kwenu....
Mpaka siku ya sherehe watu wanakaribia kuingia ukumbini MC haonekani na namba zake hazipokelewi mara haipatikani....watu wakaanza kuchanganyikiwa....na taharuki ikatanda kwenye viunga vya ukumbi...
Mimi nikawaomba ratiba ya sherehe na kipaza sauti tu π€....jambo nikalianza mwenyewe mdogo mdogo....kutahamaki watu wakaanza kujaa ukumbini na Sherehe ikaenda fresh kabisa.....
Yule anayejiita MC akaja mbio mboo mida ya saa sita hivi kama kaja kuchungulia hivi watu walivyomuoa wakamkimbiza kama mwizi mimi huku ukumbini naendelea kuibagaza π€.....
Jambo likaisha salama na mimi msema chochote MC wa kujitolea nikaambulia ka laki ka kulainisha koo na supu asubuhi tena kenyewe nilitunzwa na wageni waalikwa baada ya kuwakosha kwa kucheza vyema na π€.....
Hawa wajinga wajinga wanakula hela ya bure kutokana na ulimbukeni wa sisi wabongo hasa sie walalahoi
True, hizo mambo wafanye watu wenye hela zisizo za mawazo, MC hapokei simu mtu anakuja kulalamika JF as if ukoo mzima hakuna anayeweza kuongea ongea na kuongoza shereheYaani katika vitu ambavyo mimi sivielewi na naona kuwa watu wanalipa gharama kubwa pasi na msingi ni hili la MC....
Yaani mtu kuongea ongea pale mbele kwa masaa kadhaa ndio analipwa kweli malaki kama sio mamilioni....
Mimi kulikuwa na sherehe ya mdogo wangu(ndoa) wenyewe waliandaa na msema chochote (MC) kwa bajeti Yao ambapo ni hela nyingi kidogo.....yule jamaa akawa mzushi mzushi kama huyo wa kwenu....
Mpaka siku ya sherehe watu wanakaribia kuingia ukumbini MC haonekani na namba zake hazipokelewi mara haipatikani....watu wakaanza kuchanganyikiwa....na taharuki ikatanda kwenye viunga vya ukumbi...
Mimi nikawaomba ratiba ya sherehe na kipaza sauti tu π€....jambo nikalianza mwenyewe mdogo mdogo....kutahamaki watu wakaanza kujaa ukumbini na Sherehe ikaenda fresh kabisa.....
Yule anayejiita MC akaja mbio mbio mida ya saa sita hivi kama kaja kuchungulia hivi watu walivyomuoa wakamkimbiza kama mwizi mimi huku ukumbini naendelea kuibagaza π€.....